\ PICHA;DIAMOND APIGA SHO NCHINI CONGO AKIWA KAVAA NGUO ZA JESHI LA KONGO, - talktz
Home » » PICHA;DIAMOND APIGA SHO NCHINI CONGO AKIWA KAVAA NGUO ZA JESHI LA KONGO,

PICHA;DIAMOND APIGA SHO NCHINI CONGO AKIWA KAVAA NGUO ZA JESHI LA KONGO,


Diamond anafahamika kwa kujaribu idea tofauti za kukonga nyoyo za mashabiki wake kwenye stage.Akiwa kwenye ziara yake ya Burundi na Congo, Diamond alijaribu kufanya kitu tofauti zaidi kwa kutinga nguo za military polisi (MP) za jeshi la Congo. “Chef de l’armée… #CoNgo ,” ameandika Diamond kwenye picha hiyo aliyoweka Instagram.

JIUNGE NASI KWA KUBOFYA LIKE HAPA CHINI

TOA MAONI YAKO HAPA..!

If you like the article on this blog,please click here to subscribe free via email,that way you will get a shipment every article there is an article published in Our Website
 
Support : talktz | Shau Template | Mas
Copyright © 2011. talktz - All Rights Reserved
Template Modify by Shau
Proudly powered by Blogger